7/02/2004

Ukipata kikohozi

Usipoteze muda wako kwenda duka la madawa kununua "sumu" ukiwa na kikohozi. Koma kabisa. Unajua asilimia kubwa ya madawa yanayouzwa huko yamejaa sumu. Kwahiyo ukiwa na kikohozi fanya hivi: chukua asali changanya na maji ya uvuguvugu kisha kunywa. Kunywa tani yako. Pia chukua ndimu au limau, changanya na asali, sukari, au sukari guru, kisha kunywa. Pia kama kikohozi kinakusumbua mara kwa mara uwe unakunywa chai ya tangawizi kila mara. Jaribu utaona. Walahi!

1 Maoni Yako:

At 7/02/2004 05:10:00 PM, Anonymous Anonymous said...

ndio tupe vipande toka kwa babu. wazungu na dawa zao hizi. bei ghali halafu zinakuletea magonjwa mengine baadae.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com