7/01/2004

Mzungu...

MZUNGU RUDI ULAYA, MWAFRIKA APATE TAWALA!
KABURU RUDI KWENU, WAZAWA WAPATE TAWALA!
KABURU MATATA IYA!

3 Maoni Yako:

At 7/01/2004 06:43:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Huu ulikuwa msema wa Maumau na Jomo Kenyatta. Muzungu arudi ulaya...

 
At 7/01/2004 06:46:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Ndio akina Jomo Kenyatta na Maumau walijua janja wa wazungu toka siku nyingi

 
At 7/08/2004 08:07:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Mzungu kwanza ndio anarudi kwa nguvu kweli. afrika tumekwisha.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com