7/07/2004

Klabu ambao wanaume wanakula wakiwa uchi!

Klabu moja hapa Marekani imelazimishwa na mahakama kuruhusu wanawake, ambao kawaida hawaruhusiwi kuingia. Uongozi wa klabu hiyo umedai kuwa hauruhusu wanawake maana mara kwa mara wanaume wanaokwenda katika kilabu hiyo hupenda kula wakiwa uchi! Toba! Soma habari hiyo kwa kirefu HAPA.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com