7/06/2004

KASHFA KANISA KATOLIKI

Sijui kama unafuatilia kashfa ya kanisa katoliki hapa Marekani. Nimekuwa nikipanga kuandika makala kwa kirefu kwa muda mrefu. Lazima niandike makala hii hivi karibuni. Jumla ya mapadri 4,000 hapa Marekani wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya ngono hasa na watoto wadogo wa kiume! Soma habari zaidi HAPA
Kutokana na kashfa hiyo dayosisi ya Boston iko hatarini kufilisika kutokana na kudaiwa fidia ya mamilioni na watu waliofanyiwa vitendo vya kinyama na mapandri. Dayosisi ya Portland tayari imetangaza rasmi kuwa imefilisika. Soma habari hiyo HAPA.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com