3/16/2005

WIZI WA URITHI WA AFRIKA

Waafrika bado wanapambana kurudisha mali na urithi wao ulioibwa na wakoloni na wavamizi miaka mingi iliyopita. Wezi hawa ambao wanajiita wakristo na dini yao ina amri isemayo usiibe (au ukiiba ikitokea umekamatwa basi rudisha) walipoingia afrika waliiba kila walichoona kinawafaa. Sasa chuo kikuu chenye heshima cha Edinburgh kimekataa kuachia vitabu vilivyoibwa toka Ethiopia. Waethiopia wamekuja juu wanataka mali zao, mijaa hii inakatalia. Naona itabidi tumfuate Joji Kichaka ili tuvamie nchi zenye mali zetu na kuzitwaa. Kongoli hapa usome habari hiyo. Habari zaidi za urithi wa Ethiopia ulioporwa hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com