3/11/2005

KARUGENDO: UKRISTO UMEWAPOTOSHA WAAFRIKA

Nimeweka makala mpya mbili za Padri Privatus Karugendo. Makala zake kama mnavyojua zinapiga msasa fikra zetu. Makala ya kwanza inasema: Ukristo Umepotosha Waafrika. Bonyeza hapa uisome. Na ya pili inasema: Huu Sio U-Tanzania. Bonyeza hapa uisome. Makala zake nyingine ziko katika kona yake iitwayo Kalamu ya Karugendo iliyoko mkono wa kulia chini ya makala zangu na za Freddy Macha.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com