3/09/2005

VIDEO KUHUSU WANABLOGU LUNINGA YA ABC

Katika kipindi chake cha Nightline jana usiku, kituo cha luninga cha ABC kilikuwa na habari kuhusu wanablogu (Inside the Life of Bloggers). Bonyeza hapa utazame video ya kipindi hicho. Tazama upande wa juu kulia utaona kiunganishi cha video hiyo.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com