3/06/2005

TAMASHA LA FILAMU LA AFRIKA (FESPACO)

Nilipanga kutangaza kuhusu tamasha hili la filamu la Afrika (Pan African Film Festival - FESPACO) nikapitiwa. Lilianza tarehe 26 mwezi wa pili hadi 5 mwezi huu. Tembelea webu ya tamasha hili ili uweze kujua zaidi ya juu watengeneza filamu wa Afrika (kuna watu hudhani kuwa filamu hutoka Bollywood (India) na Hollywood (Marekani) tu). Bonyeza hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com