3/04/2005

PADRI KARUGENDO AJA NA SAFIRA NA ANANIA

Nimeweka makala nyingine mpya ya Padri Karugendo iitwayo WATAWALA WA TANZANIA NI SAWA NA ANANIA NA SAFIRA WA KWENYE BIBLIA. Soma makala hii murua kwa kubonyeza hapa. Makala zake nyingine zisome kwenye safu yake hapa ndani ya Kalamu ya Padri Karugendo. Kesho nitaweka makala zaidi na hadithi za mwandishi, na mtunzi wa riwaya wa miaka mingi Freddy Macha.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com