3/01/2005

KAMA UNATAKA KUFUTA BARUA ALIYOKUANDIKIA USAMA BIN LADEN

Unajua unapofuta mafaili toka kwenye kompyuta yako, mafaili hayo huwa yanakuwa hayajafutwa kabisa. Mashushushu kama wa Sii Ai Ei au Ef Bi Ai wakija wanaweza kusoma barua ulizokuwa ukiandikiana na Usama mwana wa Ladeni au Saddam Hussein wakati alipokuwa kule shimoni. Kwahiyo kama wewe ni gaidi na una siri unataka kufuta kabisa tumia hawa jamaa hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com