3/04/2005

UMENING'INIZA DHAHABU ZA DAMU KIFUANI?

Wengi wetu tumening'iniza na kuvaa katika vidole dhahabu za damu. Tazama filamu hii ya picha za papo kwa hapo kuhusu dhahabu za damu. Imetengenezwa na jamaa wa Free Range Graphics. Bonyeza hapa. Ukifika kwenye webu yao, bonyeza "skip intro," kisha weka mshale juu ya kuku, ukipata sehemu ya "gallery" bonyeza hapo. Ukifika kwenye "gallery" bonyeza kwenye "flash movie" iliyoko upande wa kuume, chini. Ukifika hapo tazama filamu ya Conflict Diamond. Wanafanana kiasi na jamaa wa jib jab (bonyeza juu ya jina uwatazame).

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com