3/06/2005

JAMANI, TUWARUDISHE WAKOLONI!

Jamani, Tuwarudishe Wakoloni! ni kichwa cha makala yangu mpya. Makala hii usipoisoma ukiwa umetulia unaweza usinielewe hasa ninasema nini. Ukitulia utanipata vyema. Ujumbe ninaoutoa nimeuviringishavirigisha kwenye kejeli. Kwa mfano, ninapotumia majina kama Siwema na Siwatu, usidhani nimechagua majina hayo hivi hivi tu. Hayo majina ni kama siri ambayo unapaswa kuifichua. Kumbuka kuwa makala zangu nyingine hapa ndani ya blogu ziko upande wa kuume chini ya picha yangu. Kongoli hapa usome makala hii ninayoomba turudishe wakoloni.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com