3/06/2005

WAAFRIKA NA WAAFRIKA WA MAREKANI: UNAJUA HAYA?

Joe Tungaraza kanitumia mkusanyiko mzuri wa makala/majadiliano sana unaojadilia masuala mbalimbali Waafrika wanaohamia hapa Marekani. Inasemekana kuwa kwa mara ya kwanza Waafrika wengi wanahamia Marekani kuliko wale waliokuja wakati wa biashara ya kinyama ya utumwa. Je ukweli huu una maana gani kwa bara la Afrika na uhusiano kwa ujumla kati ya Waafrika waliozaliwa Afrika na Waafrika wa Marekani?
Kongoli hapa usome mwenyewe.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com