3/10/2005

UTAKUWA WAPI MACHI 15 MWAKA HUU?

Kuna filamu ya kwenye mtandao wa kompyuta inakuja na kitu kinaitwa "webisodic" (kama kwenye episodic). Hapo Machi 15 filamu hii itaonyeshwa kwa mara ya kwanza na siku hiyo itakuwa bure (baada ya hapo utapaswa kulipa senti 99 kwa kila "webisode"). Bonyeza Hapa. Barua ya watengeneza filamu kwa vyombo vya habari iko hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com