3/11/2005

KISWAHILI CHA KENYA KATIKA KISA CHA JAFARI

Nimeweka kisa kimoja kitamu sana toka kwenye mkusanyiko wa hadithi wa Freddy Macha utakaochapwa hivi karibuni nchini Tanzania uitwao Mpe Maneno Yake. Kisa hiki kinaitwa Kisa cha Jafari. Kisa hiki kinasimuliwa kupitia wazungumzaji ambao wametoka Kenya na wanaishi nchini Uingereza. Kisome ujifunze kiswahili cha Kenya. Bonyeza hapa. Kazi zaidi za Freddy ziko katika kona yake hapa ndani, upande wa kulia, chini ya makala zangu.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com