3/13/2005

ALIBADIRI

Bwana mmoja kaniandikia. Anasema kuwa madai kuwa "watumishi" wa Mungu huwa wanaombea watu wanaowasimanga au kupinga imani zao hayana msingi wowote. Akasema kuwa mbona viongozi wa nchi za Kiislamu wanaomchukia Joji Kichaka wasimsomee alibadiri awe kichaa? Mimi nami nikaongeza, mbona Wapalestina wasiwasomee Waisraeli na kiongozi wao Sharon alibadiri ili wote wawe vichaa na wao (Wapalestina) waweze kutwaa nchi yao?

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com