3/13/2005

LAZIMA NGOZI NYEUPE IINGIE IKULU

Nimeweka makala mpya ambayo niliandika kwa ajili ya safu yangu katika gazeti la Mwanchi nchini Tanzania. Makala hii inazidi kujenga hoja yangu kuwa tuhahitaji wakoloni kwa mara ya pili na ya mwisho (ya mwisho maana safari hii wakishaingia hawatatoka tena). Inaitwa: Lazima Ngozi Nyeupe Iingie Ikulu. Bonyeza hapa uisome. Makala zangu nyingine ziko katika kona ya makala zangu, upande wa kulia wa blogu hii, chini ya picha yangu.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com