3/13/2005

ONYESHO LA "EYES WIDE OPEN"

Onyesho la "Eyes Wide Open" linaloendeshwa na American Friends Service Committe ni aina fulani ya sanaa iliyochanganyika na harakati za kupinga vita na matumizi ya nguvu katika kusuluhisha migogoro duniani. Bonyeza hapa utazame habari na picha za onyesho hilo. Ukifika hapo bonyeza kidude cha "Watch the Movie" ili kutazama filamu fupi ya gharama ya vita.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com