3/13/2005

PADRI KARUGENDO NA MIAKA 10 YA ULINGO WA BEIJING

Nimeweka makala mpya ya Padri Privatus Karugendo iitwayo Miaka 10 ya Ulingo wa Beijing. Makala hii ambayo inauliza maswali ya msingi kuhusu masuala ya jinsia inapatikana kwa kubonyeza hapa. Kumbuka kuwa makala zake nyingine ziko katika safu yake, Kalamu ya Padri Karugendo, iliyoko chini ya kona ya makala zangu na Freddy Macha zilizoko upande katika blogu hii.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com