2/05/2005

FAMILIA YA KIFALME YA UINGEREZA NI BINAMU ZETU?

Je inawezekana kuwa tuna ubinamu na Prince Charles wa Uingereza kutokana na damu ya waafrika katika familia yake? Uliwahi kumsikia dada yetu mwafrika aliyeolewa na mfalme George wa tatu wa Uingereza (1738-1820). Dada yetu huyu anaitwa Malkia Charlotte. Soma zaidi hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com