2/02/2005

UNAMJUA MWANDISHI ALIYESHTAKIWA KWA KUZUNGUMZIA BULYANHULU?

Unamjua mwandishi Greg Palast? Greg alishtakiwa hapa Marekani kwa kuandika juu ya mauaji yanayodaiwa kufanyika huko Bulyanhulu na kampuni ya uchimbaji madini. Ukiweza kupata kitabu chake kiitwacho The Best Democracy Money Can Buy kisome. Hii ni sehemu ndogo toka katika kitabu hicho ikionyesha uhusiano kati ya kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu na Joji Kichaka na jamaa wengine wenye mifuko iliyotuna. Hapa.
Kujua zaidi juu yake na kazi anazofanya msikilize, mtazame, msome kwa kwenda hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com