2/02/2005

VITA ITAKWISHA LINI DUNIANI?

Mwezi huu kuna mambo mengi. Huu ni mwezi wa historia ya watu weusi hapa Marekani na pia ndani ya blogu hii. Pia ni mwezi wa tamasha kubwa la Africa Unite kule Ethiopia kumkumbuka hayati Bob Marley. Dunia nzima tatizo la vita na ugaidi (wa makundi na ule wa sirikali) linaendelea kumaliza uhai wa wengi. Watu wanajiuliza vita vitakwisha lini duniani? Ni lini binadamu wataweza kukaa bila kurushiana mabomu, risasi, mawe, n.k.?

Bob Marley aliwahi kujaribu kutufundisha na kutuonya juu ya vita. Akatuambia kuwa kuna mambo fulani lazima yakome kabla hatujaweza kuishi katika dunia isiyo na vita. Aliyasema haya katika wimbo wake wa War ambao ulitokana na maneno ya hotuba ya aliyekuwa mfalme wa Ethiopia, Haile Selassie aliyoitoa Umoja wa Mataifa.
Haya ni maneno ya wimbo huo:

Until the philosophy
which hold one race Superior and another inferior
Is finally and permanently discredited and abandoned
Everywhere is war,
me say war

That until there are no longer first class
And second class citizens of any nation
Until the colour of a man's skin
Is of no more significance than the colour of his eyes
Me say war

That until the basic human rights are equally
Guaranteed to all,
without regard to race
Dis a war
That until that day
The dream of lasting peace, world citizenship
Rule of international morality
Will remain in but a fleeting illusion
To be persued, but never attained
Now everywhere is war, war
And until the ignoble and unhappy regimes that hold our brothers in Angola, in Mozambique,South Africa sub-human bondage
Have been toppled, utterly destroyed
Well, everywhere is war,
me say war
War in the east, war in the west
War up north, war down south
War, war, rumours of war

And until that day,
the African continent
Will not know peace,
we Africans will fight
We find it necessary and we know we shall win
As we are confident in the victory
Of good over evil, good over evil, good over evil
Good over evil, good over evil, good over evil

0 Maoni Yako:

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com