MIS-EDUCATION OF NDESANJO MACHA
Sikukuu ya mwezi wa historia ya watu weusi ambayo inafanyika mwezi huu hapa Marekani na ndani ya blogu hii, kama nilivyosema hapo awali, ilianzishwa na Carter G. Woodson. Carter G. Woodson ni mwandishi wa kitabu kizuri mno kiitwacho Mis-Education of the Negro. Jina la kitabu hiki linaweza kukukumbusha albamu hii ya Lauryn Hill. Katika kitabu cha Mis-Education of the Negro, Carter Woodson anatuambia, "Ukitawala akili ya mtu huna haja ya kutawala matendo yake..." Mfumo wa elimu ni njia bora kabisa ya kumtawala mtu kimawazo na hivyo kutawala matendo yake.
0 Maoni Yako:
Post a Comment
<< Home