2/02/2005

MWEZI WA HISTORIA YA WATU WEUSI

Kama ambavyo nilivyosema mara kadhaa, mwezi huu ni mwezi wa historia ya watu weusi hapa Marekani na ndani ya blogu hii. Historia hii ambayo imekuwa ikisherehekewa toka mwaka 1926 ilianzishwa na mwanazuoni wa Harvard Dk. Carter G. Woodson. Tunapokumbuka historia yetu, ninakutaka usiwe unasahau mambo kama haya. Na usije ukadhani kuwa hayafanyiki siku hizi!

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com