2/05/2005

UNAMFAHAMU SEPTIMUS SEVERUS?

Umepata kumsikia Septimus Severus? Huyu ni mwafrika aliyewahi kuwa mtawala wa Rumi! Alitawala mwaka 198-211 "baada ya kuzaliwa kristo." Najua mwalimu wako wa historia hakuwahi kukufundisha hili maana vitabu anavyotumia ni vya "HIS-story" na sio "Our-story."

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com