12/04/2004

PICHA

Nimeanza kuweka kitabu cha picha mbalimbali za Afrika, Ulaya, na Marekani. Tazama picha chache nilizopandisha. Tazama kulia chini ya picha yangu kisha bonyeza juu ya picha iliyoko hapo, utapelekwa kwenye ukurasa mwingine. Hapo utaona picha chache.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com