7/09/2004

Kumbe CIA waongo wakubwa!

Ripoti ya Kamati ya Ujasusi ya Bunge la Marekani imetoa taarifa ambayo imeeleza kuwa shirika la kijasusi la CIA lilitoa taarifa zilizopindishwa na za uongo kuhusu silaha za maangamizi huko Iraki. Shirika hili ambalo lina historia chafu ya mauaji na fitina limeshindwa kupinga ripoti hii. Kwa habari zaidi kongoli (click) HAPA.

1 Maoni Yako:

At 7/10/2004 02:37:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Marekani uongo utawatokea puani.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com