7/26/2004

Kitendawili...

Tuenzi vitendawili.
Nani anaweza kutegua kitendawili hili?

Kitendawili...
Msichana wangu amejishika kiuno.

Una jibu? Niandikie.5 Maoni Yako:

At 7/26/2004 10:14:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Jibu:MTI

 
At 7/27/2004 09:40:00 AM, Anonymous Anonymous said...

birika

 
At 7/27/2004 10:46:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Birika

 
At 7/28/2004 07:52:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Kikombe

 
At 8/03/2004 12:03:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Umeshapewa jibu. Ni kikombe.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com