8/04/2005

Padri Karugendo anasema Nyerere hakuwa malaika lakini...

Naanza kupandisha makala za Padri Karugendo. Msome akisema Mwalimu Nyerere Hakuwa Malaika Lakini..., kisha anaandika Rais Huchaguliwa na Mungu Lakini..., halafu anaandika kuhusu kitabu kilichozua utata mkubwa The Da Vinci Code, anazungumzia uchaguzi mkuu (mimi nauita wizi mkuu) kwa kusema Tuseme Ukweli, pia anazungumzia uongozi wa Mkapa kwenye Kaini na Abeli na anamalizia leo kwa kuuliza Hivi Kazi za Mbunge ni Zipi? Haya faidi uhondo.

Nenda hapa kama utapenda kusoma zaidi juu ya kitabu anachozungumzia Padri Karugendo cha Da Vinci Code. Huyu ndiye mwandishi wa kitabu hicho.

1 Maoni Yako:

At 8/11/2005 04:14:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Habarini wapenzi wasomaji wenzangu, kwa yeyote anayetaka kufungua makaya Padri Karugendo inayosema Nyerere Hakuwa Malaika yenye anuani "http://home.ripway.com/2005-2/261369/NYERERE_HAKUWA_MALAIKA_LAKINI.do" basi ongeza herufi "c" pale mwisho wa .do na itasomeka .doc,bofya kifungo cha "Enter" ama hapo utajisomea makala bila shaka, Poleni kwa usumbufu wasomaji wenzangu "Sakour Soud"

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com