7/11/2005

Hii ni London, jumatatu asubuhi

Baadhi yetu wanaondoka leo. Wengine, nikiwemo mimi, tunaondoka kesho. Nadhani niko tayari kuondoka. Bado jiji lina huzuni huzuni hivi. Siwezi kuficha kuwa asubuhi tulipopanda basi kuja hapa nilikuwa na hofui kidogo.

Dakika 20 zijazo mimi na John tutaondoka kwenda Bush House kwa ajili ya mahojiano ya kipindi cha BBC kiitwacho Go Digital. Ninapitia msururu wa barua pepe zilizojaa kashani.

1 Maoni Yako:

At 7/15/2005 07:44:00 AM, Anonymous Mwazidi wa Tabata said...

Pole shujaa wangu uko salama.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com