7/08/2005

Ungekutana na wakuu wa makuhani wa nchi nane kwa kahawa...

Ungewaambia nini? Kusema kweli sijui ningewaambia kitu gani. Ila Waafrika hawa niliohojiana nao wanafahama watakachowaambia. Nadhani mimi ningeweka vidonge kwenye chai ili walale kisha niwatie pingu!

1 Maoni Yako:

At 7/08/2005 02:03:00 PM, Blogger Indya Nkya said...

Huyo mzambia alitarajia vifo vya watoto wa Zambia vipunguzwe au vimalizwe na wazungu? wengi wa watoto hawa wanahitaji lishe tuu ambayo haiitaji kutoka ulaya. Haya mambo ni ya kwetu wenyewe achana na wezi

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com