7/08/2005

NANI ATAIELEZA AFRIKA?

Makala yangu kwenye gazeti la Metro la Uingereza inaelezea siku ya kwanza nilipotua mguu Gleneagles wanapokutana makuhani wakuu wa ubepari. Isome hapa.

Nina masikitiko makubwa maana kuna uwezekano kuwa marais wa Afrika hawataongea na waandishi wa habari. Wamekuja, wamekunywa mvinyo na makuhani wa ubepari na kupiga picha za pamoja, kisha kudanganyana kidogo halafu wanarudi Afrika. Nadhani watapitia kwanza kwenye mabenki kutazama akaunti zao, watacheki afya, "shopping" kidogo kisha warudi Afrika.

1 Maoni Yako:

At 7/26/2005 08:15:00 AM, Anonymous Fadhili "mtu wa watu" said...

Afrika mzee si unaijua na viongozi wake?

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com