9/15/2004

MAARIFA NA VITA

Leo asubuhi nilikuwa katikati ya jiji. Ujumbe ulioandikwa katika ukuta wa maktaba kuu ya jiji la Toledo iliyopoa katika makutano ya barabara ya Adams na North Michigan nimeupenda: MAARIFA YAMEKOMBOA WATU WENGI DUNIANI KULIKO VITA VYOTE VILIVYOWAHI KUPIGANIWA KATIKA HISTORIA.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com