9/10/2004

KENYA: KOZI YA UANDISHI WA MTANDAO WA TARAKILISHI (kompyuta)

Kozi ya uandishi wa mtandaoni (online journalism) imeanza kutolewa nchini Kenya. Kozi hiyo inatolewa na United States International University jijini Nairobi. Kwa habari zaidi kongoli hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com