9/04/2004

HATIMAYE NURU AFUNGULIWA MINYORORO

Yule binti, Nuru, aliyekuwa amefungwa minyororo kama mnyama na mama yake kwa miaka miwili sasa ameshafunguliwa. Binti huyu alikuwa akiishi kama nusu binadamu. Alikuwa akila kinyesi chake! Kwanini walimfunga Nuru minyororo badala ya mbwa? Soma habari hiyo kwa kubonyeza hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com