9/04/2004

MSIKILIZE SUGU (MR II)

Kwa wale wanaopenda mashairi ya MR II nenda hapa unaweza kusikiliza baadhi ya nyimbo zilizomo katika albamu yake mpya iitwayo SUGU. Bonyeza hapa. Pia fuatilia tovuti/webu yake hii: www.sugumusic.com. Tovuti hii bado iko kwenye ujenzi.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com