9/04/2004

MSOME FREDDY MACHA

Tayari nimeweka baadhi ya makala na hadithi za Freddy Macha katika blogu hii. Nenda mkono wa kuume baada ya makala zangu zinafuata makala na hadithi za Freddy. Kongoli juu ya makala au hadithi yoyote usome. Kwa mengi zaidi juu ya Freddy Macha unaweza kumtembelea hapa: www.freddymacha.com. Leo nimeweka hadithi moja: Mbwana na Mariamu. Hii hadithi iko kwenye mkusanyiko utakaochapwa karibuni katika kitabu kitakachoitwa MPE MANENO YAKE. Nyingine zote ni makala ambazo zimetoka katika magazeti ya Mwananchi na The Guardian nchini Tanzania.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com