9/06/2004

HipHop: Tazama Video

Kuna video hapa ya tamasha la hip hop kwa ajili ya Ukimwi lililofanyika Uholanzi mwaka 2002. Kati ya walioshiriki ni X Plastaz wa Tanzania na Baby Fatim wa Senegal. Tazama video zao hapa: http://www.baobabconnections.org/artikel.php?id=444

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com