9/06/2004

WATAZAME NA KUWASIKILIZA X PLASTAZ

Unaweza kuitazama video na kusikiliza nyimbo za kundi la X Plastaz kwa kwenda hapa: www.xplastaz.com. Ukifika hapo bonyeza palipoandikwa: LISTEN/WATCH. Pale kuna video kama Bamiza, Ushanta, Aha!, n.k. na nyimbo toka albamu ya MasaiHiphop - 2004.
Haya furahia wasanii wanaoteleza kwa mashairi na mdundo mzito.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com