7/31/2004

UNAIONAJE ADHABU HII?

Mwanamke aliyekamatwa akiiba petroli (ambayo hapa Marekani huitwa gesi) ya thamani ya dola 4 na senti 52, aliamriwa na mahakama kusimama nje ya kituo hicho cha petroli na bango kubwa mbele ya kifua chake lisemalo: NILIKAMATWA NIKIIBA PETROLI.
Watu walijaa hapo kituoni kumuona na wengine walipeleka watoto wao ili wajifunze ubaya wa wizi. Bonyeza hapa utazame picha yake na habari yenyewe.

1 Maoni Yako:

At 8/03/2004 12:04:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Da, mbona kuadhiriana huko?

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com