7/29/2004

MAKALA

Inaelekea bado tatizo la tovuti/ webu ambako ndiko ninahifadhi makala zangu liko pale pale. Ninaomba samahani tena. Nimepata barua pepe za wale wanaolalamika kuwa wanapokongoli ziliko makala hawapati kitu. Ni kweli. Kuna tatizo. Ninajitahidi kusawazisha.


1 Maoni Yako:

At 7/30/2004 11:26:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Lini utarekebisha tatizo hilo tusome makala? Niko Uingereza. Nilikuwa nakusoma nikiwa Tanzania.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com