7/10/2004


Dread Natty Dread! Wazee Maumau wa Kenya wakiwa na nywele zao zinazogusa ardhini. Maumau wakiongozwa na shujaa Dedan Kimathi walikuwa wakisme, "Mzungu arudi Ulaya, Mwafrika apate Tawala." Posted by Hello

2 Maoni Yako:

At 7/10/2004 09:32:00 PM, Anonymous Anonymous said...

jamani jamani, hizo ni nywele za kweli au kamba za katani?

 
At 7/19/2004 04:19:00 PM, Anonymous Anonymous said...

Sasa! Wanavuta bangi au nini? Aisee! Wazee wa wapi? Wa Kenya au wa Jamaica?

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com