6/26/2005

SHAIRI: NIANZE WAPI?

Kila mara
Ninakaa chini
Nikuandikie shairi
Mahiri
Wangu wa moyoni
Jua la asubuhi
Usiku wa mbalamwezi.
Kila mara ninapokaa
Chini
Nikuandikie shairi
Wangu azizi
Najiuliza
Pasi jibu
Nianze wapi?
Usiku nilikuwaza
Nikatamani
Utamke neno
Nami nijibu.
- Vermont, USA 2005

1 Maoni Yako:

At 6/26/2005 06:35:00 AM, Anonymous mshairi said...

How lovely.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com