6/23/2005

Wanablogu Shirikini Kwenye Muhtasari

Kama nimekosea naomba nisahihishwe. Katika tafutatafuta nimeona kuwa tafsiri ya Kiswahiliya neno, survey, ni muhtasari.
Haya, kuna muhtsari kwa ajili ya wanablogu unaondeshwa na maabara ya chuo cha MIT. Tafadhali ukiwa na muda shiriki.
Wakati natembelea tovuti ya maabara hiyo nimekutana na habari hii kuhusu kompyuta za mapajani za dola 100!

1 Maoni Yako:

At 6/26/2005 01:21:00 AM, Blogger Hector John Mongi said...

Nimeshiriki na maswali yao ni mazuri sana. Ingawa hatupo katika sampuli ya wanablogu 500 walioalikwa rasmi tungependa kujua matokeo ya utafiti huu. Hivyo nitaendelea kufuatilia.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com