9/26/2004

NYUMBA ILIYOJENGWA KWA MATAIRI TANZANIA

Wakati wamasai wanatumia matairi kutengeneza malapa, bwana Charles Lugenga wa DSM amejenga nyumba ya aina yake. Nyumba hii kila kitu pamoja na zulia la ndani, viti, na meza vimetengenezwa kutoka kwenye matairi yaliyotumika! Lugenga anasema kuwa ujenzi wa kutumia matairi yaliyotupwa utasaidia katika kusafisha mazingira. Habari zaidi pamoja na picha za nyumba yenyewe kongoli (bonyeza) hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com