6/10/2005

Umeiona tovuti ya Chadema?

Niliwahi kutoa tovuti za vyama vya CCM na CUF. Hivi ndivyo vyama vya kwanza kuwa na tovuti rasmi Tanzania. Sasa Chadema nao wana tovuti. Inafurahisha jinsi vyama hivi (hasa CCM na Chadema) vinavyoenzi lugha ya taifa mtandaoni tofauti na serikali au bunge.0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com