6/11/2005

CD ya Ushairi wa Kikuyu

Garua wa Mbugwa ni mshairi anayetumia lugha ya Kikuyu. Unaweza kupata CD yake iitwayo Maitũ nĩ Ma Itũ Kerĩ(Mama Yetu Ndio Ukweli Wetu). Nenda hapa.


1 Maoni Yako:

At 6/14/2005 03:32:00 AM, Anonymous mshairi said...

Asante Ndesanjo ndugu yangu. Mashairi ya mshairi huyu yanapendeza sana (tena yanilazimisha kujifunza Gikuyu haraka sana = 'crash course':)

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com