3/28/2005

MAAJABU YA WACHOMEAJI WALEMAVU TANZANIA

Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla kumejaa watu wenye vipaji na uwezo wa juu sana katika mambo mbalimbali. Tatizo ni mazingira ya kisiasa, kiuchumi, kielimu, na kijamii. Sera za kuwezesha watu wenye mitaji midogo zimebaki kwenye pambaja za midomo za watawala wa bara la Afrika. Soma habari hii ya walemavu hawa na maajabu yao ya kazi ya kuchomea vyuma. Hapa. Picha za kazi zao ziko hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com