2/07/2005

SOMO LA HISTORIA: WANAUME NA WANAWAKE WA SHOKA

Katika kundi ambalo lilichachafya sana sirikali ya Marekani na siasa zake za ubaguzi na ukandamizaji ni hili hapa. Mmoja wa viongozi wa kundi hili alikimbilia Tanzania anakoishi hadi sasa (mjini Arusha). Hawezi kutua mguu wake hapa maana atatiwa ndani! Huyu hapa. Msome hapa.
Ukiweza kutazama filamu juu ya maisha yake itazame. Hii hapa.
Mwanachama mwingine wa kundi hili alikimbilia Cuba anakoishi hadi sasa. Msome hapa.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com