2/07/2005

HII NDIO SIRIKALI INAYOSAMBAZA "DEMOKRASIA NA HAKI" DUNIANI!

Tazama sirikali inayosambaza haki na usawa duniani inachofanya kwa siri. Kongoli hapa. Ndio maana Mutabaruka aliwahi kutoa shairi akisema kuwa sio vizuri kukaa nchi ya jamaa hawa wasio na melanin kwa muda mrefu! Ila nadhani siku hizi hakuna pa kukaa maana mambo haya wanayafanya dunia nzima. Unajua chanzo cha Ebola? Nitakupa siku moja.

0 Maoni Yako:

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com